bibi kilembwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PostGE2025 Tanzania imegeuka Giningi ya Bi Kilembwe

    Wataalamu wa fasihi najua sitakua mgeni kwenu mimi bawabu wa pili niliekuwa nasimama geti la ua wa ndani wa Bi kilembwe. Sasa hivi Tanzania kiongozi huruhusiwi kuziona changamoto za wananchi kama Bi. Kilembwe hajaziona, wananchi wanaweza wakawa wanakufa mbele yako lakini kama Bi. Kilembwe...
  2. Sababu gani zilizo fanya kuanguka kwa Jamhuri ya watu wa Giningi?

    Jamuhuri ya watu wa Giningi inasemekana ilianguka bahada ya Bibi Kilembwe kuingia madarakani, inasemekana mara bahada ya Bibi Kilembwe kuikamata ikulu ya Giningi ndipo alipofungua kucha zake mwanzo watu walikua na matumaini makubwa sana na huyu bibi. Bibi Kilembwe alianza kwa kuwalisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…