Wa JF, habari ya wakati huu, mimi nimevutiwa sana na hii biashara ya kukopesha pesa ndogondogo mtaani, naomba mwenye ufahamu wa namna ya kupata vibali vy kukopesha anifahamishe ili nianze kufuatilia vibali. Asanteni
Hakika nawaambieni, hii biashara haramu ya kukopesha mitandaoni kwa riba kubwa tena kwa kutumia mitandao ya simu ya humu nchini pasipo wahusika kukamatwa, ni biashara ya vigogo kama ilivyo biashara ya kuagiza sukari.
Kama unabisha, wewe tengeneza App zako na uzitumie kufanya biashara haramu...