Habari zenu wakuu.
Nina gari aina ya Toyota i.s.t nataka niifanyie biashara ya bolt hapa mjini kama kazi ya ziada.
Swali langu ni kwamba, naweza kufanya biashara ya bolt kwa kutumia gari yenye plate number ya njano? Kama nilivyosema ni kazi ya ziada tu nikiwa free.
Kama itawezekana kuendesha...