biashara halali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nilimwalika Sheikh aje anifanyie dua mahali pangu pa biashara, wakasema naroga biashara zao. Leo kila mtu anamwaga maji na mafuta kwenye frem

    Nikipomleta Sheikh anifanyie dua kwenye biashara yangu, watu wote wakanichukia na kuanza.kusema Mimi ni mchawi. Kuanzia siku hiyo kila MTU anamwaga maji na mafuta kwenye frem yake kama wamepagawa, wengine wanaongea maneno hayaeleweki, wengine wanaimba, wengine wananong'ona, mie niko zangu...
  2. B

    Nauza kuku chotara Bei elfu 10

    Kuku wapo Dsm mbweni jkt kwa mawasiliano 0612630936 … bei n elfu kumi kamili ndo wana miezi mitatu na siku 24
  3. G

    Biashara hizi zimefunguliwa na wengi lakini wachache sana wameweza kudumu

    1. Night Club 2. Baa 3. Mabasi ya mikoani 4. Kumbi za kukodisha
  4. Ufedhuri na biashara za kitapeli

    ni jambo la kusikitisha kuna siku niliwahi sema humuu JF kumetapakaa matapeli na watu wa hovyo sana,, just assume watu wanaomba kazi humu mtu anadiriki kujifanya anakazi anakupatia tena anakusumbua tafuta wadhamini njoo na barua za utambulisho toka serikali za mtaa Ehhhh bana unaingia kazini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…