Habari zenu, wakuu?
Nianze kwa kusema kwamba pesa ina majina tofauti kulingana na matumizi yake au mazingira ambayo inatumika.
Kwa mfano:
Unapolipwa kwa kufanya kazi, tunaita Salary (Mshahara).
Unapotoa fedha kama sehemu ya taratibu za ndoa, tunaita Dowry (Mahari).
Unapowekeza fedha kwenye...