WanajamiiForums nyote mnakaribishwa siku ya Jumatano katika Uwanja wa Ndege wa JNIA kwa mapokezi ya gari la ndoto yangu.
Nimeanza kuendesha gari nikiwa na umri wa miaka 16, na gari la kwanza kuendesha lilikuwa Toyota Prado. Tangu wakati huo nimeendelea kuendesha na kumiliki magari mengi kama...