bendera ya chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 CHADEMA watangaza siku 7 za maombelezo na bendera kupepea nusu mlingoti kwenye ofisi zao zote

    Mkurugenzi wa mawasiliano na uenezi wa CHADEMA Brenda Rupia amezungumza na watanzania na kutoa pole kwa niaba ya chama na wametangaza maombelezo ya siku 7 na bendera kupepea nusu mlingoti kwenye ofisi zao zote. Nchi yetu ilishuhudia maandamano ya amani yalifanywa na wananchi yalikuwa...
  2. GE2025 CCM waogopa hadi bendera! Mwenyekiti wa CCM aagiza bendera za CHADEMA zishushwe wakati wa ziara ya kampeni ya Samia

    Katika video inayosambaa mitandaoni ikionyesha kundi la wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa katika harakati za kushusha bendera za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika maeneo mbalimbali ya Musoma. Kwa mujibu wa maelezo yanayosikika kwenye video hiyo, hatua hiyo inadaiwa...
  3. PreGE2025 Nani apeperushe bendera ya CHADEMA kwa nafasi ya Urais 2025?

    Nani apeperushe bendera ya Chadema Kwa nafasi ya Urais mwakani 2025
  4. PreGE2025 Morogoro: Rais Samia akumbana na Bendera ya CHADEMA, Ajiegemeza kwenye 4R

    Tulipokuwa tunaandika humu kwamba ccm inapumulia Mashine kila mahali, kuna waliotupinga, Lakini kama ilivyo ada Pembe la ng'ombe halifichiki, Mwenyekiti wa CCM aliyeko ziarani Mkoani Morogoro amejithibitishia. Ameuona Moto wa Chadema yeye mwenyewe na amejua kwamba hatutanii, na sasa kishaelewa...
  5. PreGE2025 Nini maana ya huu mchoro wa Kipanya wenye bendera ya CHADEMA?

    Naweza kuuita ni mchoro bora kabisa wa Masudi Kipanya toka aanze kutuletea fikra chanya kupitia katuni zake. Je, huu mchoro wenye rangi za chadema una maana gani wataalam?
  6. Picha: Bendera ya CHADEMA juu Mlima Kilimanjaro. Act wazalendo muone wivu

    CHADEMA ipo juu. Zitto na wapambe wako mtabakia midomo juu.
  7. Ishara za Nyakati: Bendera ya CHADEMA yapepea kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro

    Hii ndio Taarifa ya sasa kwenda kwa jamii yote Duniani, kwamba hivi ninavyoandika hapa Bendera ya CHADEMA imepandishwa na kusimikwa rasmi kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro, yaani hivi sasa inapepea juu ya mlima huo. Ndugu David Kilawila ndiye Shujaa aliyefanikiwa kuipandisha bendera hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…