Kiungo wa Klabu ya Real Madrid Jude Bellingham ametangazwa kuwa Mchezaji Bora wa Timu ya Taifa ya England kwa msimu wa 2025/26, baada ya kupata kura nyingi zaidi kutoka kwa mashabiki kupitia programu rasmi ya England.
Hii ni mara ya pili mfululizo kwa kiungo huyo wa Real Madrid kushinda tuzo...