bavicha mwanza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Pambalu: Mwenyekiti wa BAVICHA jimbo la Nyamagana (Mwanza) ameuawa

    John Pambalu ameandika: Wamemuua Mwenyekiti wetu wa Bavicha jimbo la Nyamagana Mwanza Kamanda Michael Christian Mutabuzi. Naambiwa alikamatwa na vijana waliompeleka jengo la CCM lililo karibu na Cetral Police mnamo tarehe 29.10.2025, siku moja baadaye tarehe 30.10.2025 mwili wake uliokotwa...
  2. Ripoti ya Uchunguzi ya Kitima itapatikana kama mpaka leo hakuna ripoti ya Kibao, Soka na wenzake, Chaula, Nondo, BAVICHA Mwanza?

    Wakuu, Polisi wameanza uchunguzi wa tukio la Padre Kitima kushambuliwa lakini mpaka leo hakuna majibu ya uchunguzi wa tukio la kuuliwa kwa Ali Kibao, utekaji wa Soka na wenzake, Abdul Nondo, Chaula aliyechora picha ya Rais Samia na kuichoma, kiongozi wa BAVICHA Mwanza, Mkrugenzi wa Dar 24...
  3. W

    PreGE2025 CHADEMA, RC Mwanza na Polisi wajadili madai ya kutekwa kwa Katibu wa BAVICHA, Watatu wakamatwa

    Kamati ya ulinzi na usalama mkoani Mwanza imekanusha tuhuma za kuhusika katika kutoweka kwa Katibu wa Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha) Mkoa wa Mwanza, Amani Manengelo ambaye inadaiwa alichukuliwa na watu waliojitambulisha ni maofisa wa polisi. Manengelo anadaiwa kutoweka Februari 14, 2025...
  4. Polisi Mwanza: Tunachunguza tukio la kutekwa kwa Katibu wa Bavicha Mwanza

    Jeshi la Polisi Tanzania limeeleza kuwa linafanyia uchunguzi madai ya kutekwa kwa Katibu wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Mkoa wa Mwanza, Amani Manengelo (30). Inadaiwa kuwa Manengelo alichukuliwa na watu wanne kutoka nyumbani kwa rafiki yake, Jovin Thomas (32), ambaye pia ni Mwenyekiti...
  5. PreGE2025 Mwenyekiti BAWACHA Mwanza: Uchaguzi ukiwa huru, CHADEMA tunachukua nchi

    Wakuu CHADEMA inaonekana kama wako serious sana na huu Uchaguzi Msikilize hapa Mwenyekiti wa BAWACHA Mwanza Hosiana Kusiga: Safu ya uongozi kwa Chama chetu imeshakamilika na tuna uhakika kama uchaguzi mkuu utafanyika kwa uhuru na haki basi CHADEMA tunachukua nchi na ndio maana tunasema (No...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…