Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato, Mkoa wa Geita Mhe. Batholomeo Manunga ametangaza nia ya kuwania Ubunge katika Jimbo la Chato Kaskazini.
Mhe. Manunga ametangaza nia yake hiyo jana Juni 16, 2025 katika kikao Cha kuwasilisha taarifa ya Utekelezaji wa shughuli za maendeleo katika kata...