Chama cha Denokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimemwandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), António Guterres, kikieleza wasiwasi wake juu ya iwapo mwakilishi waliyekutana naye, Parfait Onanga-Anyanga, alitumwa rasmi na ofisi yake kufuatilia matukio ya kabla na baada ya Oktoba 29, 2025...