baridi kali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je wajua? Bila anga hewa dunia ingekua na baridi kali la -18 celsius

    Leteni nondo wakuu, tujifunze wote
  2. Lesotho usiku huu baridi Kali sub zero

    Lesotho usiku huu utadhani Urusi wakati wa winter. Temperature zimeshuka hadi -4°C Johannesburg 8° C, Cape town 13° C, Harare 14°C, Gaborone 9°C Dar es salam 24°C Arusha 17° C, Njombe 9°C, Majinga 13°C https://youtube.com/shorts/zOagRFdGUsA?si=iDT6m21Z3CuZ71aQ
  3. Kwa nini iringa mjini pamoja na kuwa na baridi kali nyakati za usiku lakini kuna mbu wengi?

    Wakuu Ni siku ya tatu leo niko iringa mjini..ebana huu mji una mbu wengi tofauti na nilivyodhania. Hapa nilipo ni baridi lkn kuna mbu sio poa.. Nauliza ni sehemu zote hapa iringa mjini kuna mbu hivi au ni hii sehemu niliyofikia tu mimi?
  4. Matokeo ya baridi inayoendelea Dar es Salaam na mikoani kwa wenye wachumba na ndoa huanza kujitokeza lini?

    Hii baridi linaloendelea mijini na vijijini linafanya mahusiano yawe ya karibu na ya moto sana miongoni mwa wachumba na wanandoa hasa mapumzikoni usikuwengine hadi , walichuniana lakini hali ya hewa inawakutanisha. Bila shaka yoyote, yapo matokeo yanayotarajiwa na yasiyo tarajiwa yatakayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…