Habari za jioni wakuu.
Kuna video inatrend huko kwa groups kuhusu watu wa Kigoma kutojua matumizi ya double road.
Mimi kwa jinsi nilivyotembea niona hata Arusha hii njia ya Arusha - Moshi unakuta mtu anaona U turn iko mbali anawasha hazard ☢️ huyo anatafuta kona yake.
Zanzibar ndo kabisa huko...