Hiki ni kipande cha Barabara inayotoka Ipole – Tabora kuelekea Mbeya, hali ni mbaya sana, wananchi tunateseka kwa kushindwa kupita kwa utulivu.
Kuna muda abiria tunalazimika kushuka ili gari liweze kupita na kuvuka mashimo yaliyopo hapo hasa nyakati za mvua.
Serikali ifanye kitu kuhusu...