Ni kawaida kwa wanaume wengi kushuhudia uume “kulala” au kulegea mara tu baada ya kumaliza tendo la kwanza la ngono (kufika kileleni / kumwaga shahawa).
Hali hii husababishwa na mabadiliko ya kimwili na homoni baada ya kufika kileleni (kumwaga shahawa). Lakini kwa wanaume wengine, inaweza kuwa...