Habari zenu naomba msaada kwa yeyote aliyewahi kufanya kazi kama bank sales anisaidie kunipa muongozo wa majukumu ya direct sales kwa bank ni yapi pia ningependa kujua changamoto pamoja na mazingira ya kazi ya direct sale person.
Natanguliza shukrani.