Nina malalamiko kuhusu huduma ya intaneti ya Halotel ambayo imekuwa ikinitatiza kwa muda.
Bando linaisha kwa kasi isiyoendana na matumizi yangu.
Wakati mwingine najiunga na kifurushi bila hata kutumia simu kwa kiwango kikubwa napokea ujumbe kuwa tayari nimetumia 75% ya kifurushi.
Hili...