Wakuu!
Mwanaspoti wameripoti kuwa;
Simba imefikia makubaliano ya kumsajili kiungo wa CS Sfaxien, Balla Moussa Conte Ijumaa, Julai 11, 2025.
Kiungo huyo wa ulinzi raia wa Guinea mwenye umri wa miaka 21, alikuwa na mkataba wa mwaka mmoja na Sfaxien unaofikia tamati 2026 ambao Simba imeuvunja...