Mkurugenzi Mstaafu wa TBC, Mr Rioba,nimemsikiliza kidogo akidadavua mambo anuai,
Nimejisikia Vibaya sana kuwa anafanyiwa interview na Mtoto katika Tasnia ya habari, kwenye Maswala mazito na Sensitive. Anajiona anashusha pointi kwakuwa anayeongea naye ni vijana wake bila shaka...