Askofu mkuu wa Jimbo kuu katoliki la Dar es Salaam mhashamu Thadeus Ruwa'ichi anasema "Mvivu ni kichaka cha shetani, Usikubali kuwa kichaka cha shetani, hebu uwe nyumba ya neema, nyumba ya baraka, makao ya Mungu na mtenda kazi wa Mungu."
Akitoa homilia wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu Sherehe ya Kuzaliwa kwa Kristo Yesu katika Parokia ya Bikira Maria Mama wa Kanisa, Goba, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es salaam Mhashamu Sana Jude Thaddaeus Ruwa'ichi OFMCap amesema kama Mkristo tunatakiwa kuthubutu kumuungamia na...
Katika Adhimisho la Misa Takatifu ya hija ya WAWATA Jimbo Kuu la Dar es Salaam iliyofanyika Disemba 6, 2025 Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu sana Jude Thaddaeus Ruwa'ichi OFMCap amesema nyoka anawasifu wa kuhifadhi mazingira na kuleta uwiano lakini...
"Taifa letu limejeruhiwa na Taifa letu limepoteza heshima kutokana na yale yaliyojiri wiki ya uchaguzi mkuu.." amesema Askofu Mkuu Jude Thaddaeus Ruwa'ichi OFMCap.
katika homilia aliyoitoa kwenye ibada ya Misa Takatifu ya Kuombea Waliofariki wakati wa Uchaguzi Mkuu Tanzania, Misa...
"Kuelekea uchaguzi mkuu nawaomba raia wote kuongozwa na dhamiri iliyo safi iliyo hai na yenye kuongozwa na ukweli halisi wenye kuzingatia hofu ta Mungu, utu wa mtu, historia nzuri ya taifa letu, umoja na mshikamano wa taifa letu, dhamiri hai na safi yenye kufanya maamuzi sahihi, kuzingatia hofu...
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es salaam Mhashamu sana Jude Thaddaeus Ruwa'ichi OFMCap. amekanusha na kutolea ufafanuzi taarifa inayosambaa katika mitandao ya kijamii ikionyesha kuwa warsha ya waamini jimboni humo itafanyika Oktoba 29, siku ambayo ni ya uchaguzi mkuu wa Tanzania, kuwa taarifa...
Wakuu,
Wananchi tunaangusha hii nchi, kubaki kulalamika vitendo 0, ikifika muda wa kupiga haoooo tunaenda kupigia mifuko ya sukari na vitenge🤦♂️🤦♂️
====
Ni kweli kama maaskofu wa tanzania tumetoa matamko mengi, na hilo siyo jambo ambalo tunalifanya kwa kukurupuka, ni jambo ambalo...
Wakuu,
Askofu Mkuu Jimbo la Dar na Mwenyekiti wa Tume ya Haki na Amani ya Baraza la Maaskofu Tanzania, Juda Thadeus Ruwa'ichi anatoa tamko sasa hivi kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa, Katika mkutano na Wanahabari unafanyika kwenye viunga vya 'Parokia ya Bikira Maria Mama wa Huruma Mji mpya...