askofu musomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Askofu Musomba: Siasa imeingia kila sehemu, hata Mihimili yenyewe siku hizi haieleweki

    Askofu Stephano Lameck Musomba, OSA, amesema siasa imeingia kila sehemu, hata mihimili yenyewe siku hizi haieleweki, wakati wa Ibada ya Adhimisho la Mateso ya Bwana Yesu iliyofanyika Aprili 4, 2026, Parokia ya Bunju, Jimbo Katoliki la Bagamoyo.
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Musomba: Tumepoteza mwelekeo kwa yaliyotokea Oktoba 29

    Askofu wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Mhashamu Stephano Lameck Musomba, amesema Taifa limepitia mwaka wenye majonzi makubwa uliodhihirisha kupotea kwa mwelekeo wa maadili na mshikamano wa kijamii, akisisitiza umuhimu wa Watanzania kurejea kwa Mungu, haki na kuheshimiana ili kulinda amani ya...
  3. JamiiForums Tanzania Askofu Musomba: Hatuwezi kuhubiri injili pale ambapo haki haitendeki, Tutahubiri habari njema ambapo haki inatendeka

    "Tutahubiri habari njema ambapo haki inatendeka." Mhashamu Stephano Lameck Musomba, Askofu wa Jimbo Katoliki Bagamoyo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…