Mh Asharose Migiro, Mh Asharose Migiro Mh Asharose Migiro, nimekuita Mara tatu .
Ni kweli wewe ni Timu JK ila stuka Mama!!
Usikubali Kubebeshwa Mikoba inayoenda Kufuta Taswira yako Kimataifa, na Heshima yako Yooote uloipata Kimataifa kupotezwa na Siasa za CCM.
Mama yangu, Sijui kama Umekaa na...