arusha

  1. JamiiForums Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

    Nimepata habari isiyo na shaka kuwa gari aina ya coaster limeua watoto karibu wote waliokuwa wanaelekea mjini Karatu kwa ziara ya kimasomo including(joint examinations), taarifa zinasema wamebaki watoto(3) tu wengine wamefariki, shule inaitwa Lucky Vincent Nursery & Primary School ipo Arusha...
  2. JamiiForums New life band Arusha

    Bendi hii ya muziki wa injili iko wapi kwa sasa? Nimekumbuka uimbaji wao ulitubariki kwelikweli kwa vipawa walivyopewa na MUNGU,mwenye taarifa,nyimbo zao jimwage hapa
  3. JamiiForums Mfanyabiashara Maarufu wa Tanzanite, Erasto Msuya apigwa Risasi na kufariki papo hapo!

    Mfanyabiashara maarufu wa madini Mererani na Mmiliki wa SG RESORT ya Arusha, Bw. Erasto Msuya Amepigwa risasi ndani ya gari lake na kufa papo hapo mida hii akitokea Mererani kuelekea Moshi. Yasemekana wauaji wamekimbia na briefcase lake. PICHA: Mwili wa Erasto Msuya ukiwa umelala chini baada...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…