Kwa mara ya kwanza katika historia Somalia, marais watatu wastaafu Sharif Sheikh Ahmed, Abdiqasim Salad Hassan na Mohamed Abdullahi Farmaajo wameungana kutoa tamko kali dhidi ya serikali ya Rais Hassan Sheikh Mohamud. Wameilaani vikali kwa uporaji na uuzaji holela wa ardhi ya umma bila...