Kuna taarifa kuwa Anna Maulidah Valerian Komu, ambaye alikuwa ni mmoja kati ya walalamikaji katika shauri la mgawanyo wa rasilimali za CHADEMA, amefariki dunia. Mazishi yatakuwa kesho.
Mama huyu alikuwa mgombea mwenza wa Mzee Freeman Mbowe katika uchaguzi mkuu wa 2005, amekuwa mbunge wa viti...