Mtu huyu ni fisadi na amelalamikiwa na majeshi yetu na kila mtanzania anajua lakini wewe tuliyekupa dhamana ya kupambana na ufisadi unaonekana kumpenda sana huyu mtu na unazunguka nae kila unapoenda, kana kwamba haitoshi umeamua kumteua ubunge ili umpe uwaziri aendelee kufanya ufisadi wake kwa...