Wanandugu tafadhali naombeni msaada wa kufahamu juu ya mada tajwa hapo juu, maana nimeona watu wengi wakijisifu kimafanikio kwa kuhusisha namba fulani ambazo wanadai wakiziona nyakati fulani kwenye maisha yao basi ni lazima watusue.
Lakini nimesikia kuna baadhi ya watu wanasema hizi namba huwa...