Riwaya: Anga ya Washenzi
Imeandikwa na Gilbert Evarist Mushi
Phone: 0765824715.
Msimu wa Kwanza, Sehemu ya 01
SURA YA KWANZA
Jumatatu Tar 07/04/2022, Saa 04:00 Asubuhi.
Hali ya hewa ilikuwa ni ya baridi sana katika mji wa Moshi, maelfu ya watu walikusanyika katika uwanja wa chuo kikuu cha...