Google inakuja na mabadiliko kwenye mfumo wa Contacts Permissions kwenye Android 18, kwa lengo la kuongeza Privacy na kuimarisha Usalama wa taarifa zako.🛡️
📌 What's changing?
✅ Apps zitakuwa na njia salama zaidi za kuongeza add au ku edit contacts.
✅ Kupunguza ruhusa zisizo za lazima...