andre mtine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. CEO wa Yanga, Andre Mtine: Tunataka Pesa yetu ya Ubingwa ndio kitu tumewaambia TFF

    CEO wa Yanga na mtaalam wa masuala ya fedha wamehudhuria TFF kuhudhuria wito, Andre Mtine ameshangaa kuona TFF wanadai pesa ya ubingwa ilikatwa juu Kwa juu kufidia madeni ya vibali vya wachezaji Yaani Leo Madrid anyimwe pesa za ubingwa wake kisa anadaiwa TFF walipaswa kuwapa Yanga pesa Yao ya...
  2. Ukata na Uswahili: CEO Andre Mtine aondoka Yanga

    Baada ya kumtambulisha kwa mbwembe, aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji Yanga Andre Mtine abwaga manyanga. Sababu za kuondoka kwake ni uswahili uliopitiliza wa Rais wa klabu hiyo Hersi. Hii ni kutokana na ukweli kuwa, Rais anaingilia mipaka mpaka majukumu yanayopaswa kufanywa na Mkurugenzi. Mtine ni...
  3. Andre Mtine Atua Cairo

    Habari za kufurahisha moyo kwa mashabiki wa Yanga! Klabu hiyo imemtuma tena Ofisa Mtendaji wao Mkuu, Andre Mtine, kwenda kufuatilia droo ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika na Ligi ya Mabingwa Afrika. Hafla hiyo itafanyika kesho jijini Cairo na Yanga ni moja kati ya timu 8...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…