Lema ni team Mbowe, matendo yake na matamshi yake yanatia wasiwasi .
Kamponza Pambalu aje kwenye mkutano wake wa Arusha kuwa Tanzania ni salama, na serikali imemhakikishia usalama wake kama yeye aliyohakikishiwa aliporudi kutoka Canada.
Chadema isipokuwa makini na kuchukua hatua mapema...