Alireza Arafi, kiongozi wa kidini katika Baraza la Walinzi, ameteuliwa katika baraza la uongozi la Iran, chombo chenye jukumu la kutekeleza nafasi ya kiongozi mkuu hadi hapo Bunge la Wataalamu litakapomchagua kiongozi mpya.
Arafi atakuwa sehemu ya baraza la uongozi la muda akishirikiana na Rais...