Kwa sababu hii ni taasis inayofanya Biashara, sina haja ya kuivua Nguo, Itoshe kusema; Kulipa wafanyakazi Mishahara katikati ya mwezi unaofuata sio sawa kabisa!.
Kama mnafirisika bora mtangaze, Serikali iwashike Mkono. Na kama mmeshindwa kusimamia mapato na matumizi, ombeni Serikali iwaletee...