ajenda ya chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Maggid Mjengwa: Sielewi ajenda ya CHADEMA wanataka nini? Wanasema wanataka Katiba, hii sio ajenda ya mwananchi

    Wakuu! Hivi mnamwelewa Maggid Mjengwa kwa tafakari za kisiasa? 🤔 Maggid anasahau kuwa Katiba ndiyo chombo cha kuuongoza mfumo. === Maggid Mjengwa, Mchambuzi wa Masuala ya Siasa "Sielewi ajenda ya CHADEMA wanataka nini? Wanasema wanataka katiba, hii sio ajenda ya mwananchi kwamba itamtoa...
  2. JamiiForums Tanzania Kukosa akili kwa CCM na System kunazidi kuthibitisha Uhalali wa Ajenda ya Chadema kuhusu No Reforms No Election.

    Wakati Tundu Lissu akikamatwa na kuswekwa Gerezani kwa tuhuma za hila dhidi yake na Chadema. Wakati viongozi na Makada wa Chadema wakitekwa, kuuwawa na kupotezwa. Wakati Maofisa wa System wakienda kumwaga vitu vya kemikali kwenye Ofisi za Chadema Mbeya kuwatisha Wanachadema na Wanambeya kuacha...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA badilikeni au mdondoke kabisa

    Inawezekana sijui sana ila CHADEMA yapaswa mbadilike kwenye ungwe hii ya siasa CHADEMA is a story teller, na watu wote wanaojiita wananchi na kuhuzunika na CHADEMA mnajipotezea muda na kujitukana pasi na sababu yoyote ya maana. Kinachotakiwa ni ama kama kuna kitu hakiko sawa basi CHADEMA...
  4. JamiiForums Tanzania Nini kifuate baada ya kuitoa CCM madarakani? Swali hili ni la muhimu sana

    Taarifa huwa haziozi. Hoja hiyo kwenye mada; Iliibuliwa na siye Mwingine bali Nguli wa Siasa wa CHADEMA. Unaweza pitia hapa kwa Taarifa Bila ya Kuharibu shehena. Hatahivyo nitamnukuu kiunagaubaga..... Has Chadema Reformed? Imetoka Maktaba.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…