Wanafunzi 6 wa shule ya Sekondari Chalangwa iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Chunya mkoa wa Mbeya, waliokuwa wakifanya mazoezi barabara kuu ya Chunya-Mbeya , wamefariki dunia kwa kugongwa na basi la Safina aina ya Yutong lenye namba za usajili T 194 DCE, linalofanya safari zake kutoka Lwalaje...