ajali mlima sekenke

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Rais Samia: Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya vifo vya mahabusu saba na Askari Polisi watano. Poleni Familia za wafiwa

    Rais Samia Suluhu Hassan ametoa pole kwa familia za watu 12 waliofariki dunia katika ajali iliyohusisha gari la Jeshi la Polisi na lori. Ajali hiyo imetokea saa 1:30 asubuhi ya leo Jumatatu, Septemba 21, 2026 eneo la Mlima Sekenke, Kijiji cha Misigiri, Kata ya Ulemo, Wilaya ya Iramba, kwenye...
  2. R

    JamiiForums Askari Polisi Watano, Mahabusu 8 wafariki kwa ajali ya gari Mlima Sekenke, Singida

    Askari na mahabusu wanadaiwa kufariki dunia baada ya gari la polisi walilokuwa wakisafiria kugongwa na lori la mizigo katika eneo la Mlima Sekenke, Wilaya ya Iramba mkoani Singida. Mkuu wa Wilaya ya Iramba, Suleiman Mwenda, amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo iliyotokea leo majira ya saa 2:00...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…