airtel money

Airtel Payments Bank is a public limited company with its headquarters in New Delhi, India. The company is a subsidiary of Bharti Airtel. It is the first company in India to receive a payments bank license from the Reserve Bank of India and it became the first live payments bank in the country. On April 11, 2016 the Reserve Bank of India issued the license under Section 22 (1) of Banking Regulation Act, 1949 to Airtel Payments Bank. Airtel Payments Bank is a joint venture between Bharti Airtel Ltd. and Kotak Mahindra Bank Ltd.. Kotak Mahindra Bank holds 19.9% stake in the Airtel Payments Bank.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Biashara ya uwakala wa simu na benki (M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa, fahari huduma na NMB Wakala) unaweza kuanza kwa mtaji wa shilingi ngapi?

    Habari, Naomba kuuliza biashara ya uwakala wa M pesa, Airtel money, Tigo pesa, Halo pesa na uwakala wa CRDB(fahari huduma) pamoja na Nmb wakala. Hivi mtaji wake unaweza kufikia kiasi gani na pia changamoto za hiyo biashara zikoje? Naombeni ushauri wenu nina mpango wa kuja kufungua hiyo...
  2. JamiiForums Tanzania Biashara ya uwakala M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money

    Habari ndugu zangu naomba muongozo mwenye hakika na haya anijuze. Nawaza kufungua ofisi ndogo ya kuwa wakala wa hudumu za kifedha kupitia mitandao ya simu, Je, leseni ya biashara inapatikana kwa gharama kiasi gani (Mimi nipo mwanza sijawai miliki hiyo kitu ndo nata kuifuatilia Kisha nisajiri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…