Wanachama 11 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) walioshikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Rukwa wameachiwa kwa dhamana Jumanne jioni Julai 29, 2025.
Wanachama hao ni wale ambao Jeshi la Polisi mkoani Rukwa Julai 28, 2025 lilithibitisha kuwashikilia kwa madai ya kufanya mkusanyiko...