ahadi za wagombea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ahadi za wagombea kwa wapiga kura

  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais CCM aahidi Afya, Barabara, na kilimo bora Morogoro

    (CCM), Samia Suluhu Hassan ameahidi kutekeleza miradi mikubwa ya miundombinu, afya na kilimo mkoani Morogoro endapo ataendelea kupewa ridhaa ya kuwaongoza Watanzania baada ya Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025. Akizungumza leo, Ijumaa Agosti 29, 2025, katika kampeni mkoani humo, Samia...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Unadhani ahadi hii ya kuundwa kwa Tume ya Maridhiano itatekelezwa?

    Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi ndani ya siku 100 baada ya kushinda kiti hicho ataunda Tume ya Maridhiano ambayo itasaidia kuweka mazingira ya kuandaliwa kwa katiba mpya. Akizungumza kwenye uzinduzi wa kampeni za chama chake uliofanyika Agosti 28...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…