afisa wa serikali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Aliko Dangote ataka afisa wa Serikali achunguzwe kwa kutumia dola 5m kulipa ada za watoto Uswisi

    Alhaji Aliko Dangote, siku ya Jumapili alidai kuwa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Sekta ya Petroli ya Kati na Chini ya Nigeria (Nigerian Midstream and Downstream Petroleum Regulatory Authority), Farouk Ahmed, alilipa takribani dola za Marekani milioni 5 kwa ajili ya elimu ya sekondari...
  2. Serikali ya Equatorial Guinea yaunyima uwezo WhatsApp usambazaji wa picha na video za ngono za Afisa wa Serikali

    Naona Serikali Equatorial Guinea wanafanya kila mbinu kuhakikisha mambo yasiwe mengi baada ya huyo jamaa kuchafua hali ya hewa kwenye taifa hilo na nje ya taifa hilo ============================ Serikali ya Equatorial Guinea imeminya Mtandao wa Whatsapp Nchini humo ili Raia wake wasiweze...
  3. Afisa wa serikali adai UDSM ni chuo cha kata, kinazalisha wahitimu wasio na uwezo kiushindani

    Haya mliosoma UDSM wale ambao mnafundishwa na Maprofesa wa Jalapani njooni mbishie huyu mwamba hapa 👇 Bwana huyo kutoka Njombe alikuwa akichangia mjadala wa dira ya Uchumi wa Taifa ya 2050 Pia soma Ofisa biashara atuhumiwa kwa kuikashifu Serikali, Mwenge My Take: Vyuo Vikuu Bora Africa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…