Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Binyampola amekutwa amefariki dunia katika eneo la Kawe Mzimuni, Dar es salaam, huku chanzo cha kifo chake kikiwa bado hakijajulikana.
AyoTV imefika eneo la tukio na kuzungumza na Mashuhuda, ambapo mmoja wao amesema Marehemu alifika katika ofisi yake usiku wa...