Yale yaliyofichuliwa ndani ya CHADEMA sasa yanajidhihiri kwatika namna ifananayo ndani ya ACT-Tanzania. Kuna mgogoro mkali unafukuta hasa kuhusu uongozi. Wahusika mbalimbali wanaojiita Kamati Kuu, wenyeviti na nafasi nyingine wanatokeza kila kukicha wakidai kufanya vikao halali na kutoa maamuzi...