Abdallah Makame is a Tanzanian politician and academic from Zanzibar.
He serves as a Member of the East African Legislative Assembly (EALA), representing Zanzibar/Tanzania. EALA is the legislative arm of the East African Community (EAC), dealing with regional integration, trade, infrastructure, and policy issues across partner states like Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, South Sudan, DR Congo, and Somalia.
Key details about him:He holds a PhD in Finance (along with an MSc in Finance and a BBA in Accounting and Finance).
He's active in discussions on EAC integration, border issues, infrastructure, and regional cooperation—often appearing on East African media (e.g., Citizen TV Kenya, K24) commenting on topics like border closures, political succession in Tanzania, or the pace of community progress.
He's described as solutions-oriented and passionate about the East African integration agenda.
On social media he mostly posts about his work,
-
R
Abdallah Makame, Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, amesema kuwa taifa lina utaratibu wake wa kushughulikia vifo vinapotokea nchini, ikiwemo kutoa pole kwa wafiwa na kuwajali waliojeruhiwa. Ameeleza kuwa pale ambapo vifo vinakuwa vingi au vinazua maswali, hufanyika uamuzi wa kuunda tume maalum...
-
M
Abdallah Makame ambaye ni mbunge wa bunge la Afrika Mashariki akijibu hoja ya mtangazaji Odemba kuhusu haki na amani, amesema kuwa vyote ni pacha na haviwezi kutenganishwa kwasababu vinategemeana
-
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Dkt. Abdallah Makame (CCM), amesema kuwa kuna watu wananataka mabadiliko ya katiba unataka nini kibadilike?.
Nimekuja kugundua ni ngumu sana kuja kuipata hii katiba mpya kuanzia rais mpaka chawa wake hawana mpango huo.
-
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Dkt. Abdullah Makame (CCM), amesema kuwa maridhiano yanayotarajiwa kufanyika hayana uhusiano wa moja kwa moja na matukio ya Oktoba 29, bali ni moja tu ya sababu zinazoelezwa katika mchakato wa maridhiano.
-
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Dkt. Abdallah Makame (CCM), amesema kuwa hana ufahamu wa chanzo cha matukio ya Oktoba 29, lakini ni kweli kuwa kulikuwa na watu waliokuwa wakitembea na mabegi ya mgongoni yaliyojaa mabomu ya petroli yaliyotumika kuchoma magari.
Ameeleza kuwa hadi sasa bado...