Idadi ya visa vya Ebola nchini Kenya imeongezeka hadi nane baada ya mtu aliyekuwa amewekwa karantini kupatikana na virusi hivyo. Kwa mujibu wa Wizara ya Afya, mgonjwa huyo alikuwa mhudumu wa mgonjwa wa kwanza wa Ebola nchini humo, mwanaume mwenye umri wa miaka 49 aliyefariki katika Hospitali ya...