Kenya ilipoteza nafasi ya kuandaa CHAN 2018, lakini miaka tisa baadaye, uchunguzi umeibua swali jingine: Sh330 milioni zilizolipwa kwa maandalizi ya mashindano hayo zilienda wapi?
EACC inadai fedha hizo zilikuwa sehemu ya mkataba wa takribani Sh1.5 bilioni wa kusambaza na kuweka mifumo ya...