Search results

  1. kagarukiG

    Msaada kuhusu mkopo

    Mwaka jana niliomba chuo na nikapata. Pia niliomba mkopo ila sikupata hata asilimia 0. Kutokana na kutopata mkopo nilishindwa hata kwenda kiripoti chuoni badala yake ilinibidi kujipanga mwaka huu niende kwa kujilopia. Habari ambazo ninazipata ni kwamba mwaka jana data zinasoma kuwa nilipata...
  2. kagarukiG

    Msaada kwa waliochaguliwa UDSM

    Kulingana na maelekezo waliyoyatoa kwenye website yao ni kwamba admission letters kwa wale wa hapa dsm tunaweza anza kuchukuwa tarehe 29 mwezi wa 9. Je kuna mtu ameshaenda kuchukua????
  3. kagarukiG

    Naomba msaada

    Nimejaza fom ya mkopo ila kuna kosa kwa mfadhili na nataka kubafili je inawezekana?????
  4. kagarukiG

    Msaada jamani

    Habari wannajukwaa wenzangu? Naomba kuuliza. Hivi ni tovuti gani ambayo inaweza nisaidia katika kupata materials kwa ajili ya kufundiaha somo la English kidato cha nne????
Back
Top Bottom