Search results

  1. D

    Kuhusu heslb...heslb....

    Jamani tutumie JF kwa umakini. Siyo kuweka utumbo kama wa huyu jamaa. Eleweka wewe kwanza...
  2. D

    Bodi ya Mikopo (HELSB); Hii imekaaje?

    Ajabu kweli watu wengine wana mawazo ya kijima kweli. Wakati dunia nzima inakwenda high-tech, huyu bwana anataka maform ya hardcopies. Tupishe tupite.
  3. D

    Bodi ya mikopo mwaka huu 2012/2013=msiba

    Hivi huyu mdau aliyeleta hoja hii ya wanafunzi kukosa mikopo kaitoa wapi? anafanya kazi HESLB? Taarifa yake inaonekana ni ya mtaani. Sisi tumefuatilia hadi sasa Bodi haijatoa majina ya wale wanaopata mikopo na hata mwongozo ule wa mikopo haujasema chochote kuhusu suala hilo. Tusiwekane roho...
Back
Top Bottom