Kazi mnayo ccm sasa wewe upo ndani unalalamika tukusaidiajeeeeeeeee karibu huku nje kuna m4c wala hututoi rushwa ni full raha.
Kweli ccm inaeleka mwisho sasa ndugu yangu kama upo ndani na umeona hayo katika ngazi ndogo tu ya uvccm sasa hebu kiuungwana unatwambia nini watanzania kuhusu ccm na...
Mkuu nimeona hiyo yasemekana ni mvutano kati ya seriakli na chadema juu ya mswada wa fedha ambao umeainisha kodi zilizomo katika bidhaaa hivo serikali imeamua kukaa nje ya bunge na chadema na kukubaliana baadhi ya hoja zilizopelekwa na chadema ingawa chadema wameendeleakuibana serikali katika...
Hapa ndio huwa najiuliza sana kwa wale ambao husema lukuvi ni kiongoza mzalendo wakati ndie bingwa wa kupotosha ukweli na kuficha uovu wa serikali pale anaposimama kidete na kutetea udhaifu wa serikali ya ccm.jamani watanzania tuamke mana hawa jamaa wna mtandao wa kuuza rasilimali zetu ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.