Search results

  1. O

    Kamati Kuu ya CHADEMA Kukutana Tarehe 23-24 Julai

    Ni kweli magazeti ya udaku ndo mahala pao
  2. O

    TANZIA: Waziri wa Viwanda na Biashara, Abdallah Kigoda amefariki dunia

    Aliyekuwa waziri wa viwanda na masoko na mbunge Wa Handeni Dr. Abdallah Kigoda amefariki dunia katika hospitality ya Apollo India. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi, Amen
  3. O

    Malumbano ya hoja ITV, Tarehe 03 Septemba, 2015

    Wachambuzi wanadai Sera za vyama hazionyeshi namna ya kutekeleza.
  4. O

    Regina Lowassa ni mwanamama wa mfano, mke bora

    Big up ma Lowassa
  5. O

    Rais Jakaya Kikwete wakati mwingine kunyamaza ni hekima kubwa sana

    Kweli kabisaaa. Hivi hao watu wametengenezwaje?
  6. O

    Siri aliyonayo Moyoni na madhara yake kwa taifa

    Mleta mada akapimwe akili!!
  7. O

    Lema: Tutapokea kigogo wa CCM

    Naona ccm na huyo lizabon wamepagawa
  8. O

    Lowassa kutangaza kuhamia CHADEMA Julai 26, Mwembeyanga ambako Dr. Slaa alimtangaza kuwa Fisadi Papa

    Subiri EL apasue jipu kuwa Richmond ni ya nani! Hukumbuki kikao cha Halmashauri Kuu iliwahi kukaa name EL akamtaka JK awaambie Richmond ni ya nani? JK alishindwa kuendesha kikao ikabidi Mkapa aingilie na kuwa M/kiti. Hapo ikatangazwa kuwa ni marufuku kuzungumzia habari ya Richmond. Magamba kazi...
  9. O

    Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

    kanywa gongo huyo
  10. O

    Lowassa ndani ya Monduli, ajiandikisha BVR

    Ndugu EL katua jimboni kwake kujiandikisha kupiga kura Jana 15.07.15. Naona jimbo linaenda cdm kwa sababu msafara wake umepokelewa na bendera za chama hicho. Hakuongea chochote zaidi ya kusema endeleeni kuwa na imani na chama chenu kisha kuingia kwenye gari na kuondoka na kuwaacha watu...
Back
Top Bottom