Search results

  1. M

    Horizon consultancy mnawafahamu?

    iv kwel mbona wanasumbua vichwa vya watu?wanatakiwa kuwa specific wanadeal na nn exactly na sio wafanyavyo kwenye hz site za kuheshimika.wajinga sana.......:A S angry:
  2. M

    Msaada plz..

    kaka limekukuta kama mimi wangu usiapply wez hao bana.
  3. M

    Dawa za kurefusha na kunenepesha uume na njia mbadala

    Help mi kwa ajl ya mpenz wangu plz.
  4. M

    Kwa watu wa Sensa...!

    kusiriba baba ndo shughuli.
  5. M

    Customer care representatives

    obama tubebe mwaya huku hali tete!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!bala.
  6. M

    interview tips msaada plz!!!!!!

    thanks much@ Kachanchabuseta
  7. M

    My 1st Interview nipeni maujanja

    hey just tulia tena kama msom usiwe na papara,kumbuka interview its all about selling yourself so jua jins ya kujinad we tanzanians tuna tatizo hilo hatuju kujinadi.andaa confidence ya kutosha usipo elewa kitu uliza,halafu sauti iwe kubwa ya kutosha,best of lucky boy.:smile-big:,:busu
  8. M

    interview tips msaada plz!!!!!!

    jaman msaada hivi swali la mtu kujiintroduce mwenyewe lapaswa kujibiwaje? na nisaidien link ya kutafuta maswal na majibu ya interview,msaada tafadhali!!!
  9. M

    NIDA nafasi za Kazi kwa Vijana na Volunteers kuondoa Foleni ya Registration

    kwa hilo Nida walikuwa na mahesabu mabaya, next time yapasa wajipange kama fursa zingine zitatokea kuhusiana na jamii.Nachelea kusema kwamba hii ni kwa mkoa wa dsm tu. je mikoa hiyo iliyo baki jee???????????????wachukue hatua mapema.
Back
Top Bottom